Aise bila msaada hapo jamaa anakosa mambo hivi hivi sijui Honey Faith kapotelea wapi aise kutoka msaada hapa
huyu Honey Faith hana inshu siku hizi
Hapo mmoja kakataa kwenda angaza kupima ngoma
Nani anafaa sasa mkuu MO11 kusaidia mambo hapa irudi kwenye mstari