Mungu ibariki SIMBAKilichomshinda ni mpira tu. Kila akijifanya kutabiri wapi linabuma!![]()

That's why i hate politikkwenye siasa tu anateseka na hawa maccm.
Ungesema sasa yuko vipi au mpaka usajili Id nyingine ndio utakuwa huru kusema kuwa mshana & DonNalimison wote ni binadamu tu wa kawaiiidaHayuko kama mnavyo msifia.
Usisite kunishirikisha..Top 3 ya walionishawish kujiunga jf ni huyu bro......dah more blessings kaka.....uwepo wako ni darasa tosha kwetu......ila umeacha ulonzi.....inaniuma sana manake jambo langu halitafanikiwa tena
![]()
Na mimi nilifungulie uzi wa kunifagilia siku mojaMore Life…..More Opportunities…..More blessings brother🙏