Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Wewe si wakunitafutia mashahidi jamani
Wewe si wakunitafutia mashahidi jamani
Sio kwakufaudu huko jamani my wiiHahahaha hadi wewe my wii?
Hawa ni muhimu watie muhuri wa ushuhudiaji kwakweli.Wewe si wakunitafutia mashahidi jamani
Wanamuogopa balaaEm mpumzisheni mshana wa watu....
Avatar ya mshana kama yondo sister wa kwa mobutu.ila tafadhari tu usiugeuze uso wangu kuwa matako mana me nimejikuta nasema tu.si unajua tena huku mjini kunakautafiti ka 1 kati ya 4!
Naona kila mtu humu ni adui yangu sasa hivi.Hawa ni muhimu watie muhuri wa ushuhudiaji kwakweli.

Usirudi mwaya my Wii... Mi ntabaki na nani mjini humu?Naona kila mtu humu ni adui yangu sasa hivi.
Aiseeee bora nirudi kijijini tu si kwa kuchukiwa huku![]()
Ngoja niende kijijini mie na baby wangu RRONDO tukajiandae kupokea twins wetuUsirudi mwaya my Wii... Mi ntabaki na nani mjini humu?
Yeye ndio alinitema nikampata mwingine
Jamani mnataka kunitafutia ajali nilikuwa nataniana na shem wangu tuHuyu kashindikana, hadi kwenye ungo![]()
![]()
Bora unisaidie kushangaa mwenzangu... Tena anasema alifaudu sana etiHuyu kashindikana, hadi kwenye ungo![]()
![]()
Huyo huyo na yeye kaachwa yani ni mvurugaji balaaaKwahiyo mlitemana kwajili ya huyu atoto au kuna jingine?