Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,050
Aisee



Super star wa jf ,,wewe uplatnum unakufaa nunua cheo mshana
cheo mzigo
Ha haaa umepinda weweAvatar ya mshana kama yondo sister wa kwa mobutu.ila tafadhari tu usiugeuze uso wangu kuwa matako mana me nimejikuta nasema tu.si unajua tena huku mjini kunakautafiti ka 1 kati ya 4!
Avatar ya mshana kama yondo sister wa kwa mobutu.ila tafadhari tu usiugeuze uso wangu kuwa matako mana me nimejikuta nasema tu.si unajua tena huku mjini kunakautafiti ka 1 kati ya 4!

mshanaJR mara ya mwisho alikuwa mgambo wa jiji,alifaulu na kukabiziwa cheti akiwa ni mpare wakwanza asie kuwa na kithembe,mpara wa kwanza mrefu,mpare wa kwanza kuweka nazi kwenye makande,ila alifeli somo la kuukimbia ubahili..!!kama unabisha kuhusu ubahili wake naomba uniletee avatar yake ya mwisho kabla ya sasa
Mimi ombi langu nataka utupie screenshot zako zote za pm hapa!
hilo halitawezekana abadan

Kwel nakumbka aliuliziwa sana hapaSi walisema alikufa![]()
Kafufuka lini uyu mtu?
Technology imepiga hatua kubwa kuna namna siku hizi kama umekufa unaweza kufufuka
nifundishe na mm iyo technology nikifa nifufuke .Yule mama mja mzito na panya road walifufuka unapofanyia kazi?Technology imepiga hatua kubwa kuna namna siku hizi kama umekufa unaweza kufufuka
Balaa hili
Wanaume wa mikoani kwa maswali yenu yasiokuwa na kichwa wala miguu mnaongoza.....Mimi ombi langu nataka utupie screenshot zako zote za pm hapa!

Kitumikie vyema![]()
![]()
cheo mzigo
Wanaume wa mikoani kwa maswali yenu yasiokuwa na kichwa wala miguu mnaongoza.....![]()

Ohooooo