Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 25, 2014 #41 farkhina said: Hahaha kuna mmoja apo ajidai kusema kitoto ati atata badala ya nataka antaka sambusa za bure mshana jr wasje tufilisi hao Cc Mafikizolo Click to expand... farkhina wee acha tu wanafikiri my Angel Nylon akitaka Brazilian na nikab ya Saudi shekeli tatoa wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
farkhina said: Hahaha kuna mmoja apo ajidai kusema kitoto ati atata badala ya nataka antaka sambusa za bure mshana jr wasje tufilisi hao Cc Mafikizolo Click to expand... farkhina wee acha tu wanafikiri my Angel Nylon akitaka Brazilian na nikab ya Saudi shekeli tatoa wapi?
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Sep 26, 2014 #42 farkhina said: Hahaha wabagein hadi kwenye milo Gefu weeeee sio fair ivo Click to expand... ...haaahhhaaa mkuu farkhina huku kwetu bila kubagein maisha hayaendi, ndo maana wanatufungia hadi sukari za shing ishirini na hamsini kupunguza kubagein.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
farkhina said: Hahaha wabagein hadi kwenye milo Gefu weeeee sio fair ivo Click to expand... ...haaahhhaaa mkuu farkhina huku kwetu bila kubagein maisha hayaendi, ndo maana wanatufungia hadi sukari za shing ishirini na hamsini kupunguza kubagein....
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Sep 26, 2014 #43 utafiti said: Hapa mshana jr akiwa anapitia thread zake alizotuma leo... View attachment 187816 Click to expand... Ngano inakazi nyingi, kwanini Bakhresa asiwe bilionea?
utafiti said: Hapa mshana jr akiwa anapitia thread zake alizotuma leo... View attachment 187816 Click to expand... Ngano inakazi nyingi, kwanini Bakhresa asiwe bilionea?
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 26, 2014 #44 mshana jr said: farkhina wee acha tu wanafikiri my Angel Nylon akitaka Brazilian na nikab ya Saudi shekeli tatoa wapi? Click to expand... Brazilian wig au? Wala hahitaji ana unywele wake maashallah labda hiyo nikab lol na hela za kununua abaya Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: farkhina wee acha tu wanafikiri my Angel Nylon akitaka Brazilian na nikab ya Saudi shekeli tatoa wapi? Click to expand... Brazilian wig au? Wala hahitaji ana unywele wake maashallah labda hiyo nikab lol na hela za kununua abaya
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Sep 26, 2014 #45 jamaa mshana jr kumbee umkali katika mapishi ..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 26, 2014 #46 kabanga said: jamaa mshana jr kumbee umkali katika mapishi ..... Click to expand... kabanga fundi wangu farkhina big respect to her Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: jamaa mshana jr kumbee umkali katika mapishi ..... Click to expand... kabanga fundi wangu farkhina big respect to her