Paul Buchira
R I P
- Aug 5, 2013
- 1,043
- 567
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
groupie....Tukutane kule nyuma ya pazia

Tujaribu kuwa open minded
Mshana anaongea aliyokutana nayo sijajua huo uagent kaupatia wapi Na Lini alikaa Na huyo shetani
Dunia haipo rahisi Kama tunavyoichukulia
Tuwe philosophical zaidi kuliko emotional at least tutaendelea

Hahhahaaaaa alfajiri kabla Maji hayajanajisiwa
maishapopote kujifunza na kufahamu ni kitu kimoja na kukubali au kutokubali ni kitu kingineHii ndio open mind Yang aliyokua anaiongelea..
Hv Mshana huwa unakubaliana na hawa wanaokuambia hv?
hacha umbea!!!!!!! hkuna mashiko hapo
maishapopote kujifunza na kufahamu ni kitu kimoja na kukubali au kutokubali ni kitu kingine
Unachanganya.......hapo ameshajifunza....amekubali....sasa anaenda kutenda...maana ni muda tu anakuuliza ...alishachanganya mchanganyiko wote
mshana jr nahitaji na elimu ya kupaa na ungo plzHujajijua tu...umebaki kupewa ungo na usinga tu....mkutane angani na chini ya mibuyu ya Ruaha
Kama uko serious andaa ungo mnazi wa njiapanda, ndulele tisa, usinga kaniki mbili na damu ya kuku tetea na pembe ya Ng'ombe
You see! Nawe mwenyewe ushaanza kupata mzuka wa kufahamu tehInaonekana ndulele ni kiungo hatari sana kwenye mambo yenu mshana...maana kila mahali ni soo