Na mzizi mkavuAkitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
hebu nisaidia kutuwekea link za hizo mada, mie mwenyewe nishatamani kufatilia kwa ukaribu na kila ukiweka unitag niweze kufatilia kwa Ukaribu, hayo mambo unayoongea ni tangu Enzi za Nabii Suleyman lol. kuwafahamu hawa mashetani na wafuasi wake hatujakazwa.maishapopote kwanza nikupongeze sana kwa kutoa dukuduku lako ikiwa ni mtazamo wako kwangu kuhusiana na mada zangu
Najua ni una mengi zaidi ya kuandika kunihusu mimi na mada zangu na mambo yote yanayohusiana nazo...nitapenda kuwa bega kwa bega nawe Katika kueleweshana na kujuzana kwa uwazi na kwa mifano stahili huku tukitumia nukuu na lugha za kistaarabu
Naomba ushirika wako wa Karibu Katika hili kwa manufaa ya jukwaa
....not true, watu wazima ndo wanaoingizwa chaka vibaya sana, afadhali watoto wakiamini Mungu huwayumbishi....Ni maoni yako ahsante kwa kutujuza ila mwisho wa siku wote / wengi humu ni watu wazima tunajua baya na zuri...
wazee wa kula ugali na picha ya samaki.....mshana jr tupo pamoja. Weka mambo hadharani coz shetani ndo hapendi siri zake zijulikane na watu.
Gaya vindu vothe tunethikija.
sina ugomvi nae...ye mtu wa totoz mi mtu wa mishe,kutafuta noti tu.....hatuonaniSi kweli labda una ugomvi nae!
hili sidhani.....FF ana misimamo yake ila sio kama hii ya mshana,ya makaburi na paka weusiAgent wa shetani ninayemjua mimi ni Faizafoxy tu😀😀😀😀
Shetani CCM
cheki nae atakupa link zote...tena ulivyo mrembo...sekunde tuhebu nisaidia kutuwekea link za hizo mada, mie mwenyewe nishatamani kufatilia kwa ukaribu na kila ukiweka unitag niweze kufatilia kwa Ukaribu, hayo mambo unayoongea ni tangu Enzi za Nabii Suleyman lol. kuwafahamu hawa mashetani na wafuasi wake hatujakazwa.
Duuh,we jamaa ni nouma!.Kama uko serious andaa ungo mnazi wa njiapanda, ndulele tisa, usinga kaniki mbili na damu ya kuku tetea na pembe ya Ng'ombe
unaweza kutaja faida hata mbili tatu ukizopata kutoka kwake,hujanishawishi hata kidogo kutofuatilia threads za huyu jamaa. kwa ufupi namkubali sana na mmoja ya watu wanaonikosha kwa mada na maoni yao. vivaa Mshana Jr.
huu ndio ukweli namna anavyowasilisha mada zake ukizitazama kwa undani utagundua lengo lake ni kuwashawishi wanaomfuatilia kuendelea kuwajaza imani za kishirikina.ni kweli ila namna anavyozifichua hizo siri za huko kuzimu ni kama anawainspire na kuwafundisha wakifanye hicho ambacho anawaambia...he is the Trainer,and not a Trainee
Ni kwa neema tu ndio maana wachawi bado wanaishi,Uchawi huo...kimbia uuache mbali sana maana...LAANA yake ni laana kuu...
mkuu mbona povu jingi jingi?? nani kakwambia nikisoma mada za huyu jamaa napata hofu? nani kakwambia nimeshakwenda kwa waganga wa kienyeji kwakua nilisoma posts zake? mkuu umetumia kigezo gani kujua naelekea kua mtumwa wa shatani?unaweza kutaja faida hata mbili tatu ukizopata kutoka kwake,
zaidi ya kukutia hofu na mwisho wa siku unaangukia mikononi nwa waganga wa kienyeji na kuishia kuwa mtumwa wa shetani.
shetani kama alivyo hana jema,Binafsi namkubali sana Mshana Jr mitizamo yake hasa inayohusu uzalendo,Kama yupo hivyo atajua yeyevingawa kiimani tunaambiwa,chukua jema hata kama linatoka kwa shetani
mtoa mada katoa maoni yake na ushauri,Humu JF watu kujifanya wanajua Kuhukumu wenzao, as if wanawajua,kumbe apart from jina feki na sura feki hamna chochote wanachojua,zaidi ya kuotea otea thread zao,mshindwe