Kama mashabiki wa chama mfu chademaje mtu akitoka kijijini akija mjini ni mshamba na je mtu asiyejua chochote ni mshamba na je anayeishi mjini anaweza akawa mshamba?,Je mshamba ni nani haswa hebu tujadiliane kwa mapana
Kajitawaze wewe..Kama mashabiki wa chama mfu chadema
Pole kwa kuwa wewe ni mshamba shamba la Mh Mbowe na genge lake, kwa sababu wewe ni shamba na ni mshamba uliuzwa kwa vi billion hahahaha, jamaa anakula mrija kwa kuku tu sasa washamba mkiwa mnamilikiwa na nyeupe hahahahKajitawaze wewe..
Acha ushamba!
MKUU SAMAHANI WE NI JINSIA GANI KWANI NATAKA KUFAHAMU?Kama mashabiki wa chama mfu chadema
Ni jinsia Ile ya kati mkuu, huyu si mwanamke si mwanaume , siku hizi wanaitwa jinsia NEUTRAL (gasho)MKUU SAMAHANI WE NI JINSIA GANI KWANI NATAKA KUFAHAMU?
mkuu hivi mshamba wa madaraka inamaana gani hii sentensiNi mtu ambaye hajaiva.
duuuuh! akitaka kuwa na bwana vipi inawezekana ama?Ni jinsia Ile ya kati mkuu, huyu si mwanamke si mwanaume , siku hizi wanaitwa jinsia NEUTRAL (gasho)
Sasa wewe unachocheka ni nini kama siyo ushamba, mshamba kiazi tu wewe!Pole kwa kuwa wewe ni mshamba shamba la Mh Mbowe na genge lake, kwa sababu wewe ni shamba na ni mshamba uliuzwa kwa vi billion hahahaha, jamaa anakula mrija kwa kuku tu sasa washamba mkiwa mnamilikiwa na nyeupe hahahah
ExactlyKwa uelewa wangu
Ushamba ni kushangaa kitu ambacho wenzako wanakiona ni cha kawaida tu.