Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Oooops!! jana nilipitia harakaharaka habari hii nikadhani ni Mheshimiwa Masa aliepata mkasa huu, kumbe sio.... sasa ule mwekundu wa msimbazi itabidi niusitishe!
Nziku, siyo Masanilo aliyepatwa na dhoruba hili ila ni rafiki yake. Lakini bado ushauri wa kuchukua taxi muhimu kama una pesa nyingi.
Oooops!! jana nilipitia harakaharaka habari hii nikadhani ni Mheshimiwa Masa aliepata mkasa huu, kumbe sio.... sasa ule mwekundu wa msimbazi itabidi niusitishe!
Usikonde mazee, ila twaweza iangamiza wote hata kwenye nyama choma na unywaji.....
Thanks thou!
Kweli ningetamani ssana "TUKAE" najua watu wengi humu wana upeo na nivizuri sana kukutana nao......
Lakini Mhh, mkuu! haya magamba ya kobe tuliyovaa siyo rahisi kuyavua, tushasemasema mengi humu tusije "tukadugudwa!" Hata ile msimbazi ningetumia mbinu za UWT kukupatia nisingevua gamba langu kirahisirahisi!
Mimi hizi naamini ni Ndumba tu haiwezekani mtu hujitambui kifahamu ukamabidhi mtu mwenyewe mshiko ingekuwa dawa ya kulevya mtu unapoteza fahamu au unazimia kabisa lakini hii wewe mwenyewe unamkabidhi bila shaka ni ndumba.
Haya ni mambo ya kimazingara, sasa abiria wengine hawakuweza hata kujua linaloendelea!!
sasa kama una laki 4 na ushee mfukoni: kwa nini usichukie taxi ya 15,000 kukufikisha home? Kwa nini upande dala2 ya 300?
mtu anaepata 450,000 hana uwezo wa kuchukua taxi ya 15,000 labda awe na mgojwa maututiHi Team!
Hope you all fine. Jamani napenda kuwapa tahadhari wenzangu kutokana na kilichonipata Jana (sunday 31 May 2009). Ilikuwa hivi: Nilikwenda Mlimani City kufuata Salary yangu . Nilikomba kiasi chote (si mnajua pesa yenyewe kiduchu na daima huwa haitoshi). .