mshahara wa weo II

usimdanganye mwenzio wew,kama kaz ya serkal co nzr ipi nzur?kwenye mashrika? hakuna kaz nzur km za serkaln zen km ya weo.

Naomba msaada wenu jamani, hivi mwenye B.A.Journalism anaweza kupata kazi ya WEO?
 
Msaada jamani, mimi nina B.A.Journalism nimejaribu mara kadhaa kwenye nafasi za WEO na MEO bila mafanikio! Hivi wanaposema fani za sanaa, journalism siyo inclusive?
 
mimi nafikiri uendelee kujaribu na kuomba sana Mungu usichoke utafanikiwa.pia journalism nafikiri ni part ya sanaa coz chuo cha sanna Bagamoyo si wana offer hiyo?????
 
Kwanza kaa ukijua WEO ni afisa mtendaji wa kata kiingereza chake ni ward executive oficer na mshahara sina hakika sana lakini sidhani kama unazidi laki 3. Kama nimekosea kwenye mshahara am stand ti be corrected
 
Kwanza kaa ukijua WEO ni afisa mtendaji wa kata kiingereza chake ni ward executive oficer na mshahara sina hakika sana lakini sidhani kama unazidi laki 3. Kama nimekosea kwenye mshahara am stand ti be corrected

Nafasi ya WEO II ni kwa watu wenye shahada ya kwanza au diploma ya juu ambapo viwango vyao vya mshahara ni kuanzia TGS D (Zaidi ya laki 5). Kama hiyo ya Swissport atalipwa zaidi ya 1M per month sio mbaya sana, kumbukeni maisha ya DSM ni magumu msiendekeze kuuza sura ili mradi tu muonekane mnavaa tai na mko mjini. Nenda bush huko kuna opportunities kibao watu hawajui tu ilimradi uwe na malengo, ishi vizuri na watu unahakikisha Diwani na wananchi mnaelewana yaani hutanunua chakula....utakuwa we ni kujichana tu kuku, mbuzi. Yaani hata mashamba utapewa bureeeee baada ya muda utaniambia, Jamani tusikimbie vijijini twende huko tupeleke elimu zetu kwa maendeleo ya Taifa.
 
Back
Top Bottom