Mshahara wa walimu wapya,TGTS ya mshahara wao ni mpya au ya mwaka 2015?

Apr 14, 2017
40
3
Napenda kujua walimu walioajiriwa mwaka huu.TGTS ya mshahara wao ni mpya au ya mwka2015? Pia watalipwa mshahara mwezi huu au mwezi ujao? Na increments yao ni mwezi UPI kula mwaka?
 
hutalipwaje mshahara wakati hujaanza kazi? utakacholipwa ni nauli-beba tikiti zako na posho ya kujikimu hii ni baada ya kusaini mkataba kwa mkurugenzi wa wiliya uliyopangiwa.hakujawahi kubadilika kwa mishahara wala malipo ya increment kwa hiyo kama una diploma utaanza na tgts c na kwa shahada utaanza na tgts d.
 
heading yapo iweke vizuri mf. UPI MSHAHARA KWA WALIMU WAPYA.

kuliko ulivyofanya ni kurusha roho watu
 
unaulizia mshahara wakati hata kazi hujaanza??

Haaa haaa Haaa, maana yake hutaielewa.

Anamanisha, kuwa anataka kuanza matumizi ya pesa ambayo bado haiko mkononi mwake.

Aiseeeh, inasikitisha Sana, hakuna namna ndipo nchi ilipofikia.
 
hakuna hicho kitu wewe kwa diploma utaacha na laki 5 na shahada laki saba mshahara ghafi bado hujakutana na wazee wa makato,kodi,chama cha walimu,bima ya afya,mfuko wa jamii,mbio za mwenge nk
tumuelewe huyu si mwl mpya yy in mzoefu anachoamini kama watajaza mkatapa tofauti na wale wa 2015 muundo utakuwa bado wa zamani Ila kama muundo mpya mshahara utakuwa umebadilika kwa walimu wote
 
Bahati mbaya sana serikali inafanyia majaribio maisha ya vijana.imewaambia waripot vituon kuanza kaz,ukwel vijana wameitikia wito lakin kumbe serikali haijajiandaa kuwapa pesa za kuanzia maisha,wakuu wa shule na maafisa elimu wamepewa taarifa wawe wanawapa chochote kinachopatikana mpaka hapo mambo yatakapokua sawa,
 
Back
Top Bottom