Wenyewe wanaita Junk foods.Pia gharama za maisha ziko juu sana huko Marekani . Shati tu bei ya wastani ni dola $ 50 , Mortages bei juu kila mwezi . matunda na mbogamboga hazishikiki labda uwe unakula burgers na fast food . I love Tanzania, my home .
Haaaaaa na mood wote sukuma ndaniiiiiii"Mleta uzi sukuma ndani, aliye like sukuma ndani, aliyechangia sukuma ndani, aliye angalia uzi huu sukuma ndani wote"
Wacha wewe, kale ukalaleHiyo pesa unaiona kubwa kwa vile wewe thamani ya shilingi yako dhidi ya dola ni ndogo.
Wakachape watoto wa watu viboko mpaka kuwaua ?Na walimu watanzania waende tu Marekani,wakalipwe hizo!!
Average ya mshahara wa mwalimu huko marekani ni tsh 50,000,000/= kwa mwezi! [emoji12][emoji12][emoji12]
Yap, ni kati ya million 7 hadi 15!Si kweli! Hata hiyo hapo juu ni ya mwaka mzima.
Hata wewe ukitaka shati jipya quality lazima utoe 50USD. Watu hawaelewi kuwa duniani vitu vingi tunalipa sawa. Soda, bia, usafiri, mafuta, vifaa tiba na dawa, vifaa vya electronics kama simu na TV, magari nk. kwahiyo hiyo dhana ya gharama za maisha ukiingiza kipengele cha Quality utakuta tunamaisha magumu sana. Chakula nchi za magharibi siyo bei kiivyo na hupatikana kwa wingi. Gharama kubwa ni nyumba na elimu ya juu ila ni quality pia.Pia gharama za maisha ziko juu sana huko Marekani . Shati tu bei ya wastani ni dola $ 50 , Mortages bei juu kila mwezi . matunda na mbogamboga hazishikiki labda uwe unakula burgers na fast food . I love Tanzania, my home .
Sasa hiyo ndogo na hizi za walimu wetu ni zipi zina nafuu?Hiyo pesa unaiona kubwa kwa vile wewe thamani ya shilingi yako dhidi ya dola ni ndogo.
Acha masihara mkuuPia gharama za maisha ziko juu sana huko Marekani . Shati tu bei ya wastani ni dola $ 50 , Mortages bei juu kila mwezi . matunda na mbogamboga hazishikiki labda uwe unakula burgers na fast food . I love Tanzania, my home .
Uko sahihi tena hyo mil.10 ni kwa wale waliokazini muda mrefuMwalimu wa Tanzania anapata milioni 10 kwa mwaka,, hayo ni makadirio ya juu kabisa,,
Source :my experience on the industry
No. Govt school hamna ada.Sema na ada wanayo lipa wanafunzi ili ubalance story
Ni kweli. Ila wana uhakika wa makazi bora, huduma nzuri ya afya, Chakula, usafiri na pia mazingira yao ya kufanya kazi ni bora zaidi kulinganisha na huku kwethiyo hela siyo kubwa hata kidogo kwa maisha ya marekani
hata ambaye hana kazi marekani bado ana maisha mazuri tofauti na huku kwetu..kwa msingi huo ukilinganisha mwalimu us na hapa itabidi ulinganishe kila kituNi kweli. Ila wana uhakika wa makazi bora, huduma nzuri ya afya, Chakula, usafiri na pia mazingira yao ya kufanya kazi ni bora zaidi kulinganisha na huku kwet
Hiyo pesa unaiona kubwa kwa vile wewe thamani ya shilingi yako dhidi ya dola ni ndogo.