Mshahara wa walimu majimbo mbali mbali nchini Marekani

Mshahara wa walimu majimbo mbali mbali nchini Marekani

Pia gharama za maisha ziko juu sana huko Marekani . Shati tu bei ya wastani ni dola $ 50 , Mortages bei juu kila mwezi . matunda na mbogamboga hazishikiki labda uwe unakula burgers na fast food . I love Tanzania, my home .

Acha uongo ndugu! Jipe moyo tu na bongo nyoso!
 
Mavazi, Chakula, matibabu na usafiri sio issue kwa nchi zilizoelendelea as long as unafanya kazi. Labda uniambie Mortgage hapo nakubaliana na wewe inasumbua kidogo
Na mortgage itasumbuaje kama umechukua kadri ya kipato chako?
 
Mleta mada umeandika Bila kufafanua.Mwalimu kwa wenzetu ni Yule anafaulu kiwango cha juu elimu ya msingi,sekondary Na vyuo vikuu.Shule zao zote mwalimu lazima awe Na digrii.Hata chekechea lazima uwe Na digree of education in Early childhood education.Sisi kuna walimu wa certificate Na diploma msingi Na secondary.Kwa wenzetu secondary mwalimu lazima awe Na masters degree Na msingi lazima awe Na degree ya education in primary education .Hata kenya hapo Na Uganda Bila degree hupati kazi ya ualimu iwe shule ya msingi au secondary.
Nimeona vyuo mbali mbali Hapa nchini wana hiyo BED-ECE
 
Hata wewe ukitaka shati jipya quality lazima utoe 50USD. Watu hawaelewi kuwa duniani vitu vingi tunalipa sawa. Soda, bia, usafiri, mafuta, vifaa tiba na dawa, vifaa vya electronics kama simu na TV, magari nk. kwahiyo hiyo dhana ya gharama za maisha ukiingiza kipengele cha Quality utakuta tunamaisha magumu sana. Chakula nchi za magharibi siyo bei kiivyo na hupatikana kwa wingi. Gharama kubwa ni nyumba na elimu ya juu ila ni quality pia.

Mwenzako analipwa milioni 15 za kitanzania kwa mwezi wewe unalipwa laki nane halafu mnanunua vitu hapo juu kwa bei sawa? Hapa Tanzani anaweza kuja mwalimu anayelipwa 15m kwa mwezi kutalii ikaonekana amekuja bonge la Don. Atakuwa anashinda viwanja vya kitajiri sana.
Nashukuru kwa ufafanuzi wa namna hii, watu hudani hiyo pesa kwa marekani ni ndogo, eti in regard na expenses za maisha yao, sio kila system ipo hivyo, hapana walimu kwa wenzetu ni tunu
 
Tupia na ya bongo
Thamani ya shilingi(matumizi) ukiwa Shitimbi ni tofauti ukiwa Sinza Darisalama kwa wajanja na ndivyo kwa mishahara ya marekani ukilinganisha na mishahara ya Bongo,pia unaona hiyo ni mihela mingi kwa kulinganisha na TZS ambayo haina nguvu kama USD huo ni ulinganisho butu,angelinganisha huo mshahara na wa wale wanaolipwa kwa Paundi ya Uingereza au Euro kwa Ujerumani.Mleta uzi ni limbukeni na kihiyo kwa kuleta uzi mfu
 
Huo mshahara unaouona kwa maisha ya Marekeani ni mshahara siyo mkubwa sana. Hasa huo wa Virgina wa $45,240. Huo kwa mwezi ni $3770. Kwa gharama ya Virginia sidhani unaweza kuwa na saving yeyote. Bandugu rudini nyumbani kumenoga.
 
Back
Top Bottom