Wana-Jf,
Naomba tu kuuliza kama mshahara umeingia tayari hasa kwa watumishi wa serikali kama waalimu wa pale UDSM, kwani kuna jamaa ni Lecturer na alichukua pesa yangu siku nyingi na kuahidi kunilipa mshahara wa mwezi septemba. Nimewasiliana naye lkn ananiambia kwamba mshahara bado haujaingia.
Sasa naomba kama kuna mtu ana taarifa za mshahara kama waalimu wa UDSM tayari wameshapata mshahara naomba wanisaidie hizo taarifa.
NB: Naomba wale wote watakaokwazwa na ombi langu wanisamehe, lkn naomba mnisaidie taarifa kama UDSM mshahara umeingia tayari au bado.
Ni kweli kuanika deni la mtu hapa si uungwana. Hata hivyo si kila mfanyakazi wa UDSM ni Lecturer, kuna kuanzia Office Attendant hadi Vice Chancellor... Lecturer gani atakopa kwa mtu kama wewe huwezi hata kutunza siri?
Acheni mambo ya kitoto.
Nia yako ni kudhalilisha watu e!!!!? Lecturer gani atakopa kwa mtu kama wewe huwezi hata kutunza siri?
Acheni mambo ya kitoto.
Wana-Jf,
Naomba tu kuuliza kama mshahara umeingia tayari hasa kwa watumishi wa serikali kama waalimu wa pale UDSM, kwani kuna jamaa ni Lecturer na alichukua pesa yangu siku nyingi na kuahidi kunilipa mshahara wa mwezi septemba. Nimewasiliana naye lkn ananiambia kwamba mshahara bado haujaingia.
Sasa naomba kama kuna mtu ana taarifa za mshahara kama waalimu wa UDSM tayari wameshapata mshahara naomba wanisaidie hizo taarifa.
NB: Naomba wale wote watakaokwazwa na ombi langu wanisamehe, lkn naomba mnisaidie taarifa kama UDSM mshahara umeingia tayari au bado.
Bado haujaingia maana kuna taarifa kwamba Hazina wamekopa Exim Bank ili walipe watumishi wa umma na kwa mujibu wa taarifa ni kwamba mkopo umeshaingia jana wameanza kusambaza mishahara mawizarani ili kupeleka katika taasisi husika leo itaenda kwenye mabenki nadhani Jumatatu wanapata ikichelewa sana itakuwa Jumanne
tello yaani pale UDSM walisha lipa posho tangu tarehe 26 mwezi wa tisa, jamaa anakudanganya komaa nae. labda sasa usubiri wa mwezi wa kumiWana-Jf,