Mshahara wa Tsh. 700'000/=, Dar es Salaam

Mshahara wa Tsh. 700'000/=, Dar es Salaam

kuna wengine huku dar wanapata mshahara wa sh 2000 kwa siku na mungu anasaidia maisha yanasonga
 
Kuna wenzako wanahudumia extended family, wanasomesha na watoto wao wanapanga foleni ya kwenda chooni kwa mshahara wa lak 3 kwa mwezi!
 
Kwa mtu mwenye akili na mbunifu yanaenda bila shida, sijui ww kichwa chako
 
Inatosha na family yangu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nakushauri usije Dar kwa kamshahara hako! Utataabika sana kitaa! BRN @ work!
 
mshahara kidogo sana...mpaka mambo yote yakae kwenye mstari kitu kama si chini ya 1.5m nimeshaexperince
 
Mkuu hakuna mshahara unaotosha duniani

ndo mana watu wanasema hawaishi kwa mshahara

jambo la msingi ni jinsi gani unaiwekea malengo pesa unayopata

mfn kuitumia kuwekeza ktk shughuli zingine za uzalishaj mali itakusaidia kukuza kipato chako n Hatimaye kununua kila hitaji unalopenda

wapo wanaolipwa lak 2 kw mwezi lakin maisha yanaenda na wanasaidia ht ndugu zao

nakusisitiza usitegemee mshahara tu kutimkza mahitaji utakuwa mwizi
 
JF inamkusanyiko wa mambo mengi mithili ya bahari. Haya, msaidieni huyu kuishi Daslam.
 
ushamba mzigo loh!! usije mjini kwa laki 7 waambie wakuongeze angalau ifike mil 20 mkuu sawa eh!
 
!
!
inatosha,kama na kama tu........shukuru sijamalizia maana ningepigwa ban na ungejiona pimbi mno.
 
Hahaaaa. ...kwa kijijini kwenu inatosha ila dar sikushauri..labda ikapange nyumba
Isiyo na umeme kiembe mbuzi..na usioe kwanza maana utaibiwa
 
Kuna wenzako wanahudumia extended family, wanasomesha na watoto wao wanapanga foleni ya kwenda chooni kwa mshahara wa lak 3 kwa mwezi!
Yaani ulivyosema 'asante kwa kutujuza unapokea laki 7' tayari nikahisi unapokea less than that. Pesa huwa haijai mkononi, swala ni kuwa content tu na kujitahidi kuhakikisha unamake ends meet.
 
Wale wa getini wanapokea less than laki 1.5 still wanaishi bongo na wanasalisha familia...

Jiulize wanaishije?
 
Sori kama kuna walionielewa vibaya, nafanya kazi countryside ambako ni very remote and nimepata kazi dar yenye huo mshahara. Nataka kuhamia sehemu ambayo ni mjini kidogo kwa ajili ya career goals ndiyo maana nikawa nauliza kwa hiyo package dar maisha yanasonga?
 
Back
Top Bottom