Mshahara wa skeli PUSS 13 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa skeli PUSS 13

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ndechumia, Dec 28, 2011.

 1. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Heshima zenu Jf na wapenzi wa jukwaa letu la kujitafitia ajira.

  Kuna kazi nimeona imetangazwa yenye ngazi ya mshahara PUSS 13-14 sasa wadau naombeni mnijuze hiyo ni kama shs ngapi za TZ.
  hiii itanisaidia kunipa mzuka wa kuomba.

  natanguliza shukrani zangu
   
Loading...