Mshahara wa Project Officer VSO International

Mshahara wa Project Officer VSO International

Awa jamaa hafai hata bure na wenzao wanaojiita restless development..
Akil zao zinawatosha wenyewe, yan hawalip kabisa utadhani hawajui maisha ya mtanzania....😡😡
Wanakufanyisha kazi masaa mengi, almost siku nzima, halafu hakuna kitu wanalipa..!!!
Huu ni unyanyasaji kabisa, na kama kuna officer yeyote wa haya mashirika awaambie wenzake, waache ubaguzi..!!!
Mnafanya kazi na wazungu, ila wazungu ndio wanathaminiwa kuliko wenye nchi..
Acheni hizo mambo!!
Napata hasira sana kuona mwafrika mwenzangu anaungana na wale jamaa kutoka nje kuninyonya..:thumbdown:
Kama yamewagusa JIREKEBISHENI..!!!
Kama,nmeongea pumba, yaachen hapa hapa....:banghead:

hicho unachokisema sio kweli mimi nimewahi kuvolunteer na vso na hakuna ubaguzi unaofanywa na shirika...wala wazungu hakuna wanachopendelewa kama ni allowances mnapewa sawa na wazungu...kama kulala vijijini wote mnalala huko...sema kuna baadhi ya kazi huwa zinwaelemea wabongo lwakuwa wazung wnakuwa bado hawajajua kiswahili mfano kwenye baseline survey unakuta mnafanya na wanakijiji ambao hawajui kiingereza inabidi mbongo ndio uzungumzenae...sasa cjajua huo ubaguzi uko kwenye nini labda...
 
Habarini za Mida hii ndugu wanajamvi?

Mimi ni mgeni katika jukwaa hili... Samahani sana ndugu zangu kwa kupost mada hii wakati huu, bila shaka wengi wetu watakuwa waejipumzisha tayari.

Ninaomba kusaidiwa na wanaoifahamu vyema hii NGO ya VSO, ya kwamba wanalipa mshahara kiasi gani kwa ngazi ya "Project Officer"???

Ni hilo tu ndugu zangu, Natanguliza shukurani!

Mkuu mbona unataka kutuchosha,,,, ili usipoteze muda na ukaonekana wa ajabu tafadhari waone wao hasa administration wakuambie... huku si ajabu hata BOSS wako yumo humu atakushangaa sana kuuliza hilo hapa wakati ungeweza uliza wakati wa interview muwe makini sana hasa kwa NGO kwa serekari hakuna shida kuuliza ila kwa NGO utajipa shida bure...just go and ask
 
Kuna mwenye kufahamu salary scale ya pathfinder international.
 
Labda nichangie kidogo, kuna kazi unafanya sasa unataka ufanye kulinganisha mishahara ama? Nitakuwa katika sehemu nzuri ya kuchangia kama nitaelewa kusudi la wewe kufahamu mshahara wa hapo. Ninaamini ktk kulitafakali hili unaweza jijibu.
 
huwez kuwa na mshahara gross 3m alafu take home ikawa 2.4m. labda kama kuna makato haukatwi. it should be about 2m take home
 
Itakuwa restless development ndio hawafai

kama ulikuwepo kwenye akili yangu...hao ni restless development, hawafai hata bure.
kuna mijitu inajua kutafina pesa pale bila hata aibu..hadi huwa najiuliza, hivi kuwa fisad ni lazima uwe waziri..!!???
ndio maana tanzania ufisadi wa mali za umma na wizi hautaishi kamwe.
maana mtu akipewa kajinafasi kidogo tu ni taaabu
 
hicho unachokisema sio kweli mimi nimewahi kuvolunteer na vso na hakuna ubaguzi unaofanywa na shirika...wala wazungu hakuna wanachopendelewa kama ni allowances mnapewa sawa na wazungu...kama kulala vijijini wote mnalala huko...sema kuna baadhi ya kazi huwa zinwaelemea wabongo lwakuwa wazung wnakuwa bado hawajajua kiswahili mfano kwenye baseline survey unakuta mnafanya na wanakijiji ambao hawajui kiingereza inabidi mbongo ndio uzungumzenae...sasa cjajua huo ubaguzi uko kwenye nini labda...

Tupe experience yako
Wanalipaje wanao volunteer kwa VSO?
 
Mtoa mada umepata kazi??mbona hujibu comment
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom