1. Upolisi sio ajira kama kufanya kazi kwenye NGO.
2. Kama unataka kufanya kazi Polisi bila kupenda kufanya kazi hiyo hata ungelipwa milioni kamwe hutofurahia maisha yako yote.
3. Mishahara ya majeshi yote ni siri so ninaweza kukuthibitishia kuwa WOTE walioandika hapo juu wamekudanganya.
4. Mishahara ya karibu sekta zote za serikali mi considerably midogo ukilinganisha na private sectors.
5. Jichunguze tena kwann unataka kufanya kazi Polisi..motive behind (mshahara au kulitumikia taifa)
6. Siku zote hata ungefanya kazi Price water hse coopers ama KPMG usifurahie mshahara wa kuajiriwa...try and make your own money. That way you will enjoy what you are doing and love your life.
7. The best place to work, in the world, na ukalipwa mshahara mkubwa kuliko sehemu nyingine yeyote ni kichwani kwako. (Wazungu wanaita self employment). Una nini kichwani kwako? Ideas? ...hapo ndipo palipolala utajiri mwingi.
8. Someone once said, "the richest place in the world is 'makaburini'" ..because that's where million dollar ideas are burried.
9. Nikutakie kila la heri katika kuanza maisha (nasema hivyo kwakuwa najua siku hizi polisi wanaajiri fresh graduates). Ukitaka pesa nyingi hazipo polisi..hazipo KPMG...but ukitaka kuwa Polisi kwa sababu unapenda kuwatumikia wananchi basi nina uhakika Afande Semiono (mkuu wa ajira) atakupokea kwa mikono miwili.
NB: Tanzania na rushwa vimetokana na watu wanaofanya kazi alimradi wapate kazi...si kwa sababu wanapenda kufanya wanachokifanya.
#tafakari #chukuaHatua
PM moderator,
Mentor.