Mshahara wa Oktoba bado tu?

Mshahara wa Oktoba bado tu?

Attachments

  • IMG-20171021-WA0008.jpg
    IMG-20171021-WA0008.jpg
    14.2 KB · Views: 40
Hapo mtu anAhesabu miaka lini atafikisha miaka 60 astaafu anunue gari. Mkiajiriwa mjiongezage jamani na ukiona miaka 5 imepita upo kazini na unaulizia mashahara kila mwezi kama hivi wewe ni mtumwa mambo leo.
 
My sister once told me,,,"Juma kama we ni m2mishi na mwez hata haujafika kat huna hata 10000,hiyo kaz ni bora uache...."nikaa nkafkiri kwa kina mateso nayopta huko mzigon nkaona bora nkae zangu pemben nowaachie ajira yao....yaan dume zima ukiombwa hata lak 1 tu daily huna...
 
Hapahapa ndio nitajua kama Mzigo umesoma ngoja niwahi siti ya mbele kabisa
 
Back
Top Bottom