Mshahara wa mwezi wa nane kitendawili

Mshahara wa mwezi wa nane kitendawili

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
197
Reaction score
405
Wakuu kuna madeni chungu nzima watu wamekopa ila mshahara wa mwezi huu August ni kitendawili, ofisi moja ila kuna wengine wamepata wengine bado.

Mwenye majibu ya kutia moyo aje awafariji wasiopata mshahara adi sasa: maana hali ni tetee
 
Yani nyie walimu mnavolalamikia mishahara ikichelewa utafikiri Tz nzima mnaolipwa mishahara ni nyie pekee enu. Tuwafariji nini sasa kama ulikopa sababu ya kushindwa kuvumilia njaa shauri yako
 
Sawa mtabiri tambi tambi
 
Wakuu kuna madeni chungu nzima watu wamekopa ila mshahara wa mwezi huu August ni kitendawili, ofisi moja ila kuna wengine wamepata wengine bado.

Mwenye majibu ya kutia moyo aje awafariji wasiopata mshahara adi sasa: maana hali ni tetee
Kaka sio wa mwezi wa nane tu, hadi wa mwezi huu 🤣🤣🤣, tutanyooshwa mno mwaka huu.
 
Back
Top Bottom