MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Hii ni hatariWanachambua waliotiania kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
15:05 bado bila bila mpaka mawazo sijui kuna issue gani inaendelea huko.Mkuu usiwe na Wasiwasi, hata mm ni NMB ila bado sijapata.
subiri apo apo ATM.ni kwa mafungu15:05 bado bila bila mpaka mawazo sijui kuna issue gani inaendelea huko.
15:05 bado bila bila mpaka mawazo sijui kuna issue gani inaendelea huko.
TayariiiiiiiiYeah hata mimi bado hawajaingiza, hapa kazini una wengine wawili pia wa NMB Hawajaingiziwa....tuvute subira, itakua kwa Awamu tu.
Serikali ovyo sana hii...Habari wakurungwa
Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?
Mabadiriko[emoji777]Je kuna mabadiriko yoyote?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee anazidi kupigaa spanaa dadekiii!!Serikali ovyo sana hii...
Mtu hapewi mshara wake sababu tu nimwalimu aliyechukua fomu kutia nia kugombea.
Wajinga sana hawa.
Kama ulichukua form ya Kugombeaa bhasi utakulaa ulikogombeaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeah hata mimi bado hawajaingiza, hapa kazini una wengine wawili pia wa NMB Hawajaingiziwa....tuvute subira, itakua kwa Awamu tu.
[emoji38] [emoji38] Hebu swali langu hapo juuKama ulichukua form ya Kugombeaa bhasi utakulaa ulikogombeaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pay as u earn kuna percent ya mshahara inakatwa na serikali depend na unachokipataaa..