Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Achana nae huyo mjinga, kuna nchi gani ambayo watu wote wamejiajiri.Acha upumbavu.
mbona wewe ulienda kuomba kazi za ea hostess ( in JPM voice) pale ATCL, Ulikuwa unataka nini kama sio kuajiriwa?
Hebu angalia vizuri comment zangu inawezekana umekosea kumjibu mtu mimi siulizii mishaharaKuchelewa mshahara siku moja tu ushavurugwa hivyo? ha ha ha ha.....daaaaa....
kwako unafikiri mwanamke kazi yake kumwandalia mwanaume chai tu?
Hivi hujanywa mpaka saa sita kasoro hii? LOL....wenzio tunasubiri tuite cha mchana.
Hata wewe uliojiajiri si ume ajiri, mambo ni kutegemeana, acha fikra mfu, kuna kale katabia nakuchukia kwa kuona mtu aliyeajiriwa amepotea, sasa mbona kipindi corona imetokea kulikuwa mtafutano biashara zilidoda, ishi karne mpya acha fikra za kizeeHivi kuna watu bado wanaishi kwa kuajiriwa? Like seriously
Ulitia nia nini?Habari wakurugwa
kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya
kunani huko jikoni au mpk wiki ijayo?
Ni ujinga eti,vimshahara vyenyewe vikiingia vinaisha chapu bado wanatucheleweshaDona kantri mkuu hahaha
Pimbi huyo na walimtosa ATCL liko mbeya, Yuko mbeya huko ni single mother analialia tu hana loloteAchana nae huyo mjinga, kuna nchi gani ambayo watu wote wamejiajiri.
Hata USA kuna waajiriwa
Analeta dharau kisa kwao kazikuta chenji
Haituhusu wale ambao hatukutia nia, watoe pesa zetu
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Hebu angalia vizuri comment zangu inawezekana umekosea kumjibu mtu mimi siulizii mishahara
Acha upumbavu ebooo.
haha
Mkuu goma lishaingia kachukue.Ni ujinga eti,vimshahara vyenyewe vikiingia vinaisha chapu bado wanatuchelewesha
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] UmetumwaBado siku 6 mwezi kuisha Mkuu
Mama mimi hapa nimelela, wala siwazii mshahara bado nakula per diem za MUSEMMmmm....ha ha ha mi basi mgumu kuelewa.
Mi imesoma sasa, NMB, nenda tu kwa Mangi leo ufurahi
Mbona mimi bado crdb mzee nimepitia saa tatu na nusu hivi, njaa kali kimtindo, kasalary kanaokoa sana lifeMkuu goma lishaingia kachukue.
BUt wakubwa naona wana maono ya kuongeza asilimia 100 mwaka 2022 au 2023 ngoja tusubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pimbi huyo na walimtosa ATCL liko mbeya, Yuko mbeya huko ni single mother analialia tu hana lolote
Mama mimi hapa nimelela, wala siwazii mshahara bado nakula per diem za MUSE
Mzee wait itakuwa bank system but goma liko hewani, subiri kidogo ukachukueMbona mimi bado crdb mzee nimepitia saa tatu na nusu hivi, njaa kali kimtindo, kasalary kanaokoa sana life
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
We si unakula perdiem unawezaje ukanipa matumaini [emoji12]Mzee wait itakuwa bank system but goma liko hewani, subiri kidogo ukachukue
Hakuna kitu kama hicho boss.Si nilisikia kwamba serikalini mshahara unatoka tar 19? JWTZ si wanapata salary mara tatu? "Resheni" tar 7 , Nusu Mshahara tar 15 na Mshahara mwingine Tar 30!!
Nyoo nini sasa.Nyooooooo