Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Mkuu COVID-19 ipo jikinge kwanza achana na mshahara utaingia leo jioni japo inategemea na hali ya kibubu si unajua kuna Msiba mkubwa unaohitaji budget kuuhandle?

Fata ushauri wa kitaalam kujikinga na hili futa la sivyo utakuwa habari ukiwa haupo
 
mzee acha ujinga sijasema hujapata elewa point yangu...ukiona umepata wewe jua wote walio kwenye payroll mzigo umeingia.

Acha ujinga ebooo
Kilaza wewe, ukirejea jibu langu nimesema serikali kuu naona watu wamepata, ulitaka nisemee wengine ilihali sipo huko?

Muuliza swali kauliza taasisi gani imepata nikataja serikali kuu maana ndio nina uhakika nayo.

Haya endelea kubwabwaja tu
 
Acha ukilaza endelea kujifunza dogo, ukitukana hovyo unaonekana wewe ndio kilaza. Unafikiri system ya Payroll ina sort out kwenye malipo kwamba hawa wa serikali kuu na walio bank ya CRDB ndio walipwe kwanza?
 
Ok kwa hyo kodi inapungua kile kiasi kinaonekana kimeongezek kwenye mshahara
 
Back
Top Bottom