Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,476 Reaction score 40,101 Dec 24, 2025 #1 Naanzia Novemba 2025 naona wengi akaunti zimenuna. Wengi tunafahamu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama wamelipwa na wanaongezewa na incentives lukuki. Safari hii, nchi imeshikwa pabaya maana inaua walipakodi ikiamini haina haja nao.
Naanzia Novemba 2025 naona wengi akaunti zimenuna. Wengi tunafahamu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama wamelipwa na wanaongezewa na incentives lukuki. Safari hii, nchi imeshikwa pabaya maana inaua walipakodi ikiamini haina haja nao.
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,450 Reaction score 23,148 Dec 24, 2025 #2 Mimi wangu nilipata tarehe 21/12/2025, kada ya ualimu ,shule ya msingi mpigamiti, Liwale - Lindi
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,085 Reaction score 82,790 Dec 24, 2025 #3 Nawaonea huruma wastaafu mpaka sasa hawajapewa chao