Mshahara wa mwezi Septemba kwa Watumishi wa Umma...

Tayari mkuu mi weekend yangu leo ntakua elements masaki kalibuni wadau japo tupooze machungu
 
Tuliliiima mbaazi na rafiki yangu cha kushangaza jamaa amenisusia mzigo wote hana hamu alipoambiwa tupewe Tsh. 200 kwa kilo!
 
Nipo na payroll hapa no increment means no mabadiliko
Bado uhakiki unaendelea , we vipi mbona hauelewi? Nadhani uhakiki utaisha 2019, halafu huo mwaka mshahara utaongezeka na pia 2020! Sasa usianze kujiuliza ni kwa nini mshahara uongezeke karibu na mwaka wa uchaguzi? Jibu umeshapewa ni kuwa hapo ndo uhakiki utakuwa umekwisha, na hakuna tena wafanyakazi hewa. Kuwa karibu na uchaguzi ni coincedence tu!
 
Mshahara tyr tangu Jana mchana.
Ugumu wa maisha ndio kipimo cha akili wacha magu anyooshe watu huenda tukaacha kuishi kwa mazoea.
 
Back
Top Bottom