Mshahara wa mwezi Septemba kwa Watumishi wa Umma...

Ukiona hautoshi kalime
Watu kama nyie nawashangaa sana eti 'kalime' unaijua shubili ya kilimo wewe mnachukulia kama last option katika maisha kaa ukijua hii ni Kazi ngumu na yenye changamoto lukuki wengi wanaotoka mofisini inawatoa baru, usidharau Kazi ya kilimo wewe ukafikiri ni ya kitoto eti kila anayelima lazima apate dhubutuu, unaweza invest 3M zote zikaenda na maji kama siyo jua
 
Back
Top Bottom