Mshahara wa mwezi Septemba kwa Watumishi wa Umma...

Lini uliona watu tumeandama kisa mshahara? Mshahara wa July 2013 tuliupokea tarehe 18 Agosti ulisikia kelele zozote? Mk.ndu wako k.ma ww! Kazi yenu kusifia ujinga tu.
Naongelea nyongeza **** lako mbichi katombwe ulale
 
Amani iwe nanyi, kwa wenzetu mlioajiriwa vipi mwezi huu kuna increments kwenye mishahara yenu? Maana sisi wachuuzi wa bidhaa huku mitaani hali sio nzuri tunawategemea nyinyi mkipata na sisi tumepata: maana nasikia ule uhakiki wa miaka miwili umekwisha. Kazi njema
 
Unaulizia increment ili uwapandishie kodi?
 
Amani iwe nanyi, kwa wenzetu mlioajiriwa vipi mwezi huu kuna increments kwenye mishahara yenu? Maana sisi wachuuzi wa bidhaa huku mitaani hali sio nzuri tunawategemea nyinyi mkipata na sisi tumepata: maana nasikia ule uhakiki wa miaka miwili umekwisha. Kazi njema
hamna kitu
 
Mwezi ujao october mambo yatakuwa safi, believe me, jamaa ana nia njema sana na nchii, tho tatizo lako approach aitumia thus why wengi hawamuelewi
 
Vyuma vimekaza
Ulishiriki kutoa msemo dstv au umekopi mkuu?
Bada ya hawa jamaa kutuibia muda mrefu na ss kuona hali wananchi/wateja wao kuwa dhoofulhali eti wanasema vyuma vimeachia kwa kupunguza kidogo malipo ya mwezi!
 
Back
Top Bottom