mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Kweli mzee au unataniaKm ww ushapata ya wengine ya nn sasa? Au kuna mtu una mdai?
BadoItakuwa anaulizia kama umetoka
Hiyo trick ya mtoa post kuulizaBad
Bado
Haya ndio maisha ya Watanzania, nyie mliomo humu kuchunguza waharifu, pia mchukue na changamoto hizi kufikisha kunakohusika. Mtu tarehe hii anauliza mshahara?
Nyamaza huko! Mshahara mshahara huna chanzo kingine? Mwezi huu mshahara mpaka tarehe 15 Juni utakoma!!Kama taito inavyosema hapo juu, leo nikapata message kitu kimeingia, kwa sisi wa TGO umewahi sijui wenzetu TG zingine.
A u ni kwa ajili kununua iftari? AL eid Je? Tutapewa ?
Nmb imeanza kutemaNyamaza huko! Mshahara mshahara huna chanzo kingine? Mwezi huu mshahara mpaka tarehe 15 Juni utakoma!!
Shukuru km umepata maana twahofia kuja kuanza kukopwa mbeleni jiwe kuu halitabiriki.Kama taito inavyosema hapo juu, leo nikapata message kitu kimeingia, kwa sisi wa TGO umewahi sijui wenzetu TG zingine.
A u ni kwa ajili kununua iftari? AL eid Je? Tutapewa ?