Mshahara wa mwezi Januari umetoka?

Mshahara wa mwezi Januari umetoka?

Siku hizi watu mna Raha sana. Nakumbuka mwaka 1967 nikiwa darasa la sita baba alikua mwalimu huko usweken. Kulikua hakuna simu Wala Nini, mwisho wa mwezi ukifika mwalimu mmoja anatumwa kwenda wilayani kuchukua mishahara ya walimu wote. Watu walikua Ni waaminifu sana. Nakumbuka ikiwa zamu ya baba kufuata mishahara town lazima arudi na mikate na mchele.
Sio siku hizi eti kila jioni Ni wali.
Enzi zile hakuna pilau Wala biriani. Ni wali tu halafu Mimi nilikua najua wali hauliwi na kitoweo.
Tulipohamia Kisosora TANGA 1968 Niko la Saba ndio nikaanza kushangaa watu wa mjini eti hawezi kula wali hivi hivi bila samaki au nyama
Respect kwako Legendary. Hakika Jamiiforums kuna watu wa kila rika.
 
we noma mshahara wa mwezi unaisha kwa siku na hapo hujarudi nyumbani bado
Planters Day Out. Nisipofuta jasho siku ya kupokea ndululu sitalifuta kabisa maana mwenye chumba ananingoja, Tanesco naye ananingoja japo huyu sina shida naye sana kwani mishumaa ya kutosha ipo chumbani ila muhimu ni kifo cha mchongo ofisini bosi atanikopesha tu, babu atafariki tu na hela itatoka.
 
Nasubiri mshahara hapa, hayo ni marupurupu nakamua.
 
Siku hizi watu mna Raha sana. Nakumbuka mwaka 1967 nikiwa darasa la sita baba alikua mwalimu huko usweken. Kulikua hakuna simu Wala Nini, mwisho wa mwezi ukifika mwalimu mmoja anatumwa kwenda wilayani kuchukua mishahara ya walimu wote. Watu walikua Ni waaminifu sana. Nakumbuka ikiwa zamu ya baba kufuata mishahara town lazima arudi na mikate na mchele.
Sio siku hizi eti kila jioni Ni wali.
Enzi zile hakuna pilau Wala biriani. Ni wali tu halafu Mimi nilikua najua wali hauliwi na kitoweo.
Tulipohamia Kisosora TANGA 1968 Niko la Saba ndio nikaanza kushangaa watu wa mjini eti hawezi kula wali hivi hivi bila samaki au nyama

Mimi sio mhenga kama wewe ila kuna mambo nakumbuka kijijini kwetu
Mkate lilikuwa jambo kubwa sana nyumbani
Wali ni sikukuu ni sharti maharage au na nyama ya ng’ombe na soda za wakati huo ni fanta au Coca

Tv kuna jamaa flan alikuwa nayo kijijini kwetu inaonyesha black and white ila ukienda kuangalia wenyewe wanagomba unachafua makochi
 
Siku hizi watu mna Raha sana. Nakumbuka mwaka 1967 nikiwa darasa la sita baba alikua mwalimu huko usweken. Kulikua hakuna simu Wala Nini, mwisho wa mwezi ukifika mwalimu mmoja anatumwa kwenda wilayani kuchukua mishahara ya walimu wote. Watu walikua Ni waaminifu sana. Nakumbuka ikiwa zamu ya baba kufuata mishahara town lazima arudi na mikate na mchele.
Sio siku hizi eti kila jioni Ni wali.
Enzi zile hakuna pilau Wala biriani. Ni wali tu halafu Mimi nilikua najua wali hauliwi na kitoweo.
Tulipohamia Kisosora TANGA 1968 Niko la Saba ndio nikaanza kushangaa watu wa mjini eti hawezi kula wali hivi hivi bila samaki au nyama
Deceiver [emoji23][emoji23]
 
Aisee we ni muhenga
 
Back
Top Bottom