kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 821
Mshahara wa mwezi March mbona umechelewa??
Ukilipwa mshahara tarehe 24 hadi tarehe 24 mwezi umeisha unatakiwa ulipwe tena. Ukinilipa tarehe 30 umenichelewesha siku 6Ukilipwa Mshahara baada ya mwisho wa Mwezi ndio umechelewa, otherwise umelipwa ndani ya muda muafaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshakuwa mwalimu Mara hii?Wenzako kada ya ualimu tunakenua meno 32
Aha kumbe ni ww leo umeniomba udhuru kwamba una msiba jirani kafariki kumbe unatumia mshahara ok subiri ukiingia ksho kazini.mbona mzigo umeshatoka, leo nmeomba udhuru job, niko hapa bar nakula mtungi kupunguza machungu + stress
Utamfanya nini? Acha raia atumbue na kimada kidogo. Anasa hii haipati tena hadi mwezi ujao tarehe kama hiiAha kumbe ni ww leo umeniomba udhuru kwamba una msiba jirani kafariki kumbe unatumia mshahara ok subiri ukiingia ksho kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha hatarii sna ikifika weekend kachoka hatariiiUtamfanya nini? Acha raia atumbue na kimada kidogo. Anasa hii haipati tena hadi mwezi ujao tarehe kama hii
boss mimi nacheza na mshahara wangu sichezei kazi, nafanya kazi kwa bidii hivyo usinipangie namna ya kutumia hela yangu.Aha kumbe ni ww leo umeniomba udhuru kwamba una msiba jirani kafariki kumbe unatumia mshahara ok subiri ukiingia ksho kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri teke linalokuijia.boss mimi nacheza na mshahara wangu sichezei kazi, nafanya kazi kwa bidii hivyo usinipangie namna ya kutumia hela yangu.