Habari wapendwa. poleni na majukumu ya kila siku.
Naomba ushauri. Rafiki yangu amepata nafasi ya kufundisha somo la mathematics katika shule moja kubwa ya english medium (primary level) iliyopo jijini Dar es salaam. Tatizo linalomsumbua ni kiwango cha mshahara. Wamemwambia watamlipa kiasi cha sh. laki tano na kidogo lakini anahisi kiwango hiki ni kidogo kulingana na mazingira ya sasa. Ushauri anouhitaji ni kumjulisha kiwango cha mshara kwa walimu wa shule za english medium ili aweze ku'negotiate' kiwango chake cha mshahara na mwajiri wake . Tafadhali kwa yeyote anayejua naomba anijulishe.
Ahsanteni kwa msaada wenu, Mungu awabariki.