Mshahara wa mwalimu level ya degree ni kiasi gani

Walimu wanajua,ni kampuni ya mikopo pia.
Bado hawajapita wauza vyombo,madeni dukani,kila mwalimu ana daftari lake ikumbukwe.
Bado stress za afisa elimu,mratibu elimu na mkuu wa shule,hutu hujifanya tumungu watu,saizi nimeona hadi mameya wanapiga biti waalimu (rejea Meya_Tanga)
Mwalimu unarudi nyumbani hata kutomb'a hutomb'i una hasira si mchezo ndio maana wengine wanapiga wanafunzi hadi wanaua.
Vijana kuweni makini na kazi mnazoziingia heri uwe dereva bajaji mwenge_ubungo kuliko chaka hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuongopea watu,kila mtu na afanye kazi yake na usidharau kazi ya mtu mwingine kwa sababu hata ikiwa nzuri haikusaidi wewe
 
Back
Top Bottom