Mshahara wa mtu mwenye degree mbili serikalini unakuaje?

rebeca joseph

Member
Apr 13, 2023
10
7
Wakuu msaada tafadhali mshahara wa mtu ambaye ana degree mbili seeikalin unakuaje.

Maybe mtu ana degree na Health system manegement na pia ana degree ya social work unakuaje?

Msaada tafadhali.
 
Katika hizo "digrii mbili" utalipwa kwa moja unayoifanyia kazi, maana huwezi kuajiriwa kwa fani mbili au zaidi. Hii ni tofauti na mtu mwenye digrii ya pili (masters) ya fani fulani..!
 
Wakuu msaada tafadhali mshahara wa mtu ambaye ana degree mbili seeikalin unakuaje.

Maybe mtu ana degree na Health system manegement na pia ana degree ya social work unakuaje?

Msaada tafadhali.
Kwani digrii ndiyo inayofanya kazi? Hayo mambo yalikuwepo zamani wakati wa Ujamaa. Kitu muhimu ni mchango wako katika kazi unayoifanya , ukiwa na digrii mbili labda ukipata nafasi mchango wako unaweza kuwa mkubwa kuliko mwenye digrii moja.
 
Back
Top Bottom