CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,786
- 15,732
Asee hujanielewa.. hapo nilikiwa namaanisha kwamba hata kama una degree ya Law.. ili iweze kupata CPA (T) yakupasa uanzia foundation huko.. na kwa kufanya hivyo maana yake ni kwamba inabadili carrier yako na kuingia ktk uhasibu.. hapo utakuwa na ujuzi wa aina mbili.. uhasibu na Law.. lkn hadi upate CPA utakuwa tayari umeshaingia ktk uhasibu..Kijana huna unachokifahamu kuhusu CPA rudi kwa mjomba ako akuelezee vizuri... naona unabisha ujinga tuu humu... narudia tena sina tiba ya kukutibu moja kwa moja zaid ya kukurudisha kwa mjomba aliyekukaririsha akakuelezee vizur.