Mshahara wa Mh. Lissu ni Muhimu kuliko Maji kwa wananchi wa jimbo lake?

shamimuodd

JF-Expert Member
Jan 28, 2019
526
1,000
Wakuu wangu wa JF!

Tangu Mh. Lissu apatwe na janga la jaribio la kumdhuru haijawahi tokea waumini wake hata wakajikusanya japo kwenda jimboni kwake kutoa pole kwa wananchi wale ambao hawajui mbunge wao yupo wapi. Kibaya zaidi ni pale ambapo wananchi hao wanakosa huduma muhimu kama maji, halafu unakuta waumini wake wanaomba awape akaunti yake haraka ili walimpe mshahara bila hata kufanya kazi badala ya hiyo hela ingeenda jimboni kutatua kero za wapiga kura wake ili basi akirudi aweze kusema alifanya kitu pamoja na ugonjwa wake.

Je ni kweli Mshahara wa Mh. Lissu ni muhimu kuliko kuboresha mazingira ya wapiga kura wake?

Tujadili wakuu
 
Estone

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
454
500

Huyu anawezakuwa mwanamke kweli anayejua uchungu wa kuzaa?
Au avatar yake tu ndo ya kike lakini ni mwanaume mbona anapenda kusimanga watu?

Kwan wengine wanaolipwa mishahara kama yeye kwaokuna maji na huduma zote?

Mbona kuna wengine nao wanalipwa ila n hawaingii bungeni wala hawapo jimboni?
 
kupelwa

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
1,072
1,500
Katika vijana wanaharakati na wewe una akili sana,unajenga hoja ya maendeleo kwa singizo cha lissu kupewa mshahara wake kujitibia,swali,mshahara wa mbunge huwa ni chanzo cha mapato ya kufanya maendeleo kisheria na kwa kanuni ya bunge?je bajeti ya nchi haipaswikutumika kuleta maendeleo?lisu akiwa mgonjwa hispitalini serikali nayo yote inakuwa hispitalini kuwaletea wananchi maendeleo?kuna DC pale kwenye jimbo lake ,kuna Ded kwenye jimbo lake kuna halmashauri kuna madiwani wote hawataki maendeleo mpka lissu apone? Tumia akili wakati mwingine kujenga hoja
Wakuu wangu wa JF!

Tangu Mh. Lissu apatwe na janga la jaribio la kumdhuru haijawahi tokea waumini wake hata wakajikusanya japo kwenda jimboni kwake kutoa pole kwa wananchi wale ambao hawajui mbunge wao yupo wapi. Kibaya zaidi ni pale ambapo wananchi hao wanakosa huduma muhimu kama maji, halafu unakuta waumini wake wanaomba awape akaunti yake haraka ili walimpe mshahara bila hata kufanya kazi badala ya hiyo hela ingeenda jimboni kutatua kero za wapiga kura wake ili basi akirudi aweze kusema alifanya kitu pamoja na ugonjwa wake.

Je ni kweli Mshahara wa Mh. Lissu ni muhimu kuliko kuboresha mazingira ya wapiga kura wake?

Tujadili wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,320
2,000
KWA PM WANALALAMIKA KOROSHO ZAO HAWALIPWI KAMA WALIVYOAHIDIWA, WANAPEWA SIASA TU. AMEFAIDI DUKA LA DAWA LA MSD TU. MENGINE YANAFANYIKA SEATTLE TU
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,370
2,000
Wakuu wangu wa JF!

Tangu Mh. Lissu apatwe na janga la jaribio la kumdhuru haijawahi tokea waumini wake hata wakajikusanya japo kwenda jimboni kwake kutoa pole kwa wananchi wale ambao hawajui mbunge wao yupo wapi. Kibaya zaidi ni pale ambapo wananchi hao wanakosa huduma muhimu kama maji, halafu unakuta waumini wake wanaomba awape akaunti yake haraka ili walimpe mshahara bila hata kufanya kazi badala ya hiyo hela ingeenda jimboni kutatua kero za wapiga kura wake ili basi akirudi aweze kusema alifanya kitu pamoja na ugonjwa wake.

Je ni kweli Mshahara wa Mh. Lissu ni muhimu kuliko kuboresha mazingira ya wapiga kura wake?

Tujadili wakuu
Nimrod Mkono naye hayupo jimboni kwake muda mrefu sana. Vipi waumini wake wamefanya hayo unayotaka yafanyike kwa Lisu? Au wewe ndiyo wale msioweza kuona zaidi ya urefu wa pua yako?
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,497
2,000
Wakuu wangu wa JF!

Tangu Mh. Lissu apatwe na janga la jaribio la kumdhuru haijawahi tokea waumini wake hata wakajikusanya japo kwenda jimboni kwake kutoa pole kwa wananchi wale ambao hawajui mbunge wao yupo wapi. Kibaya zaidi ni pale ambapo wananchi hao wanakosa huduma muhimu kama maji, halafu unakuta waumini wake wanaomba awape akaunti yake haraka ili walimpe mshahara bila hata kufanya kazi badala ya hiyo hela ingeenda jimboni kutatua kero za wapiga kura wake ili basi akirudi aweze kusema alifanya kitu pamoja na ugonjwa wake.

Je ni kweli Mshahara wa Mh. Lissu ni muhimu kuliko kuboresha mazingira ya wapiga kura wake?

Tujadili wakuu
Badala ya kuuliza bajeti ya maji kama ilipelekwa jimboni wewe unakomaa na mshahara wa Lissu.
 
Waluhwanoyena

JF-Expert Member
Sep 19, 2018
390
500
Walitaka age ili asiwasemee wapiga kura wake wahudumiwe na Serkali na mshahara wake uende kuendeleza ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ili mabeberu wake kutalii nchini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom