shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 890
- 1,398
Wakuu wangu wa JF!
Tangu Mh. Lissu apatwe na janga la jaribio la kumdhuru haijawahi tokea waumini wake hata wakajikusanya japo kwenda jimboni kwake kutoa pole kwa wananchi wale ambao hawajui mbunge wao yupo wapi. Kibaya zaidi ni pale ambapo wananchi hao wanakosa huduma muhimu kama maji, halafu unakuta waumini wake wanaomba awape akaunti yake haraka ili walimpe mshahara bila hata kufanya kazi badala ya hiyo hela ingeenda jimboni kutatua kero za wapiga kura wake ili basi akirudi aweze kusema alifanya kitu pamoja na ugonjwa wake.
Je ni kweli Mshahara wa Mh. Lissu ni muhimu kuliko kuboresha mazingira ya wapiga kura wake?
Tujadili wakuu