Mshahara wa kazi ya Medical Transcription huwa kiasi gani?

Lastlady

New Member
Sep 4, 2015
1
0
Jamani wadau hivi karibu niliitwa kwenye interview ya masuala ya Medical transcription .. lakini sijui ngazi zao za mshaara zimekaaje naombeni kwa anaejua aweze kunijuza please
 
Back
Top Bottom