Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,914
- 11,330
Wadau!
Nipo kwenye maandalizi ya kuandikia assertion yangu binafsi kuhusu Tanzania😛olitical Empowerment in human services(Sub-section: Secretary Generals of First and Second largest parties in our National assembly).Nipo kwenye hatua za mwisho za kukusanya data nianze mchakato kamili.
Lkn nimepata tatizo kidogo kujua ni kiasi gani hasa Katibu Mkuu wa CCM Kisheria analipwa kwa mwezi.Nimetafuta mno kwenye websites nyingi bila majibu yyt yale ya maana sana sana nimeona mshahara wa Dr Slaa tu.Tafadhali nisaidieni kwenye hili ili nimalize kazi yangu ktk muda uliopangwa.
Nikijua analipwaje nitakuwa nimemaliza kukusanya data zangu kitakachobaki ni kumalizia kazi hii nitakayoitumia kwenye exit polls ktk uchaguzi wa vitongoji mwakani!
Asanteni sana hasa mkinisaidia
CC: chama MSALANI Ritz Ben Saanane Tumain Makene ZeMarcopolo

Last edited by a moderator: