VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 677
Mshahara umetoka Wakuu niwatakie kazi njema katika kujenga Taifa letu. Wafanyakazi wote hoyeeeee
Si umeona hata uzi umedorora. hahahahahahahah
TPBwadau mbona kwangu bado .walioingiziwa ni benki gani???
Crdb tayrwadau mbona kwangu bado .walioingiziwa ni benki gani???
CRDB nipo
mimi niko crdb hakuna kituCrdb tayr
umeona??CRDB nipo
umeona??
crdb customers sasa zamu yetu kusomeshwa namba. Zamani tulikuwa tunapewa kipaumbele.umeona??
Ndo life letu hill don't panic.Nawaona salary advance wameshakata chao na mmeshakopa tenaaaa[emoji13] [emoji13]
[emoji13] [emoji13] kwanini ukose vigezo wakati wewe ni mteja mtiifu??Ndo life letu hill don't panic.
Ila IPO siku utaona sms ya marejesho ma ukijaribu kukopa tena unaambiwa huna vigezo.
Siku wakikuambia "You are not qualified to apply this transaction" utawapeleka polisi huku wakirukishwa kichurachura[emoji13] [emoji13] kwanini ukose vigezo wakati wewe ni mteja mtiifu??
hahaahahahahah, jamani.Naona leo hapo Ukerewe patakuwa hapatoshi
NMB na baadhi NBC tayariOyaaa mnawekeana kwa ukabila nini, kwangu mbona bilabila?
YAP kuna mtu wa NMB amenithibitishia ila CRDB bado kweupeNBM na baadhi NBC tayari
Mmh! Labda kama wewe sio NMB. ila ninachojua, Salary Advance unaweza kukopa masaa 24 baada ya Mshahara kutoka.Nawaona salary advance wameshakata chao na mmeshakopa tenaaaa[emoji13] [emoji13]
CRDB wengi sana hawajapata ila NMB na NBC mambo sio mabayaYAP kuna mtu wa NMB amenithibitishia ila CRDB bado kweupe