Mshahara wa July 2019 vipi?

wewe ni lazima utakuwa ni mteja wa Milembe. Sio bure Boss.
Umetoka lakini hakuna badiliko hata kidogo!!!!
😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡 😡
 
Demiss data
Mshahara tayari, ila naona wanaanza kuwekea watu wa NMB benki zingine muendelee kuwa wavumilivu.
UZI WETU UNAKWENDA KUISHIA KABURINI. RIP HUU UZI. nahisi hii comment yangu itakuwa ni ya mwisho.
hahah jioni tunaanzisha Uzi mpya WA nini kinaendelea baada ya salio kusoma, wengine utasikia nipo baa flani kuna totoz kinoma,
 
Mshahara tayari watu wa NBC tumeshapata sms, lakini hakuna nyongeza yeyote... hivi huyu mwamba huwa anawaza nn mwaka wa nne huu bila ongezeko
 
hahah jioni tunaanzisha Uzi mpya WA nini kinaendelea baada ya salio kusoma, wengine utasikia nipo baa flani kuna totoz kinoma,
Sidhani kama kutakuwa na uzi kama huo. watumishi wengi walitegemea nyongeza!!!!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mshahara tayari watu wa NBC tumeshapata sms, lakini hakuna nyongeza yeyote... hivi huyu mwamba huwa anawaza nn mwaka wa nne huu bila ongezeko
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kuna miradi Mingi sana ambayo ni muhimu kuliko kuongezewa mishahara.
Subirini miradi iishe, ndo nanyi tuwafikirie
 
Ahaaaaaaaa n Shiiidaaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…