Mshahara wa July 2019 vipi?

Acha nimefulia wewe Huu mwezi wa sita nashangaa nilikuwa na majukumu ya kuhamia nyumba mpya imenifilisi sana hata balance hakuna naomba hata elf 5 rafiki
Pole sana vuta subira kidogo, hatuchekani wengine tumeamua kwenda mazoezini kupoteza muda
 
Hahahaha nakuja faster
Changamka fasta pm na namba yako ya muhamala wengine tunachukuaga salary advance mwisho wa mwezi kama ivi wengine mkifulia tunakaa bar wenyewe tunasumbua.
 


Ukipata danga la buku fanya kunirushia tu piyemu best..achana na watu wanaojiona wenyew ndo watumishi....hahahaa...hehehehhee hiiihhi
 
Kweli kabisaa wengine mpaka tunaumwaaa
Uongo ni dhambi kubwa sana. Na linapokuja kusema uwongo kuhusu mshahara ni mara mbili ya dhambi ya uongo wa kawaida. Nyie hamjui tuu watu wapo na hali gani? Kuweni na huruma
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…