Taharifa kutoka jikon mwez huu unapita neutral.hutak andamana[emoji86][emoji86]TANGAZO! TANGAZO!
Yeyote atakae pata taarifa ya kuandama kwa mwezi maeneo ya NMB atupe taarifa haraka ili kesho tusijikute tunaendelea tena na mfungo wa Koresma'
NB:Ikumbukwe kuwa mfungo uliopita mwezi ulionekana tarehe 19 June.
Kwa kweli inabidi nisimchukulie poa..unaweza kukuta ni afisa masijala ofisi fulani tu kubwa..[emoji23][emoji23]Hahhahaa usimchukulie poa..ohoo[emoji28]
Tupo hapa tunagojea mwez uandame
Taharifa kutoka jikon mwez huu unapita neutral.hutak andamana[emoji86][emoji86]
Kwa kweli inabidi nisimchukulie poa..unaweza kukuta ni afisa masijala ofisi fulani tu kubwa..[emoji23][emoji23]
Hatari Mkuu kuna mpangaji mwenzangu hapa kafuatwa na Wadeni watatu wanamdai kajifungia ndani, huku nje msala hatari
Nalipiza kisasi na mimi cha kudanganywa mchana kutwa
Kwa kweli inabidi nisimchukulie poa..unaweza kukuta ni afisa masijala ofisi fulani tu kubwa..[emoji23][emoji23]
Nadhani ni kazi mojawapo ya mshahara mkuu, tukizipata lazima tuzirudishe kwenye mzungukuko kwa kasi ya hatari ili barmaid nae alipwe mshahara wake, mchoma nyama pale kati, nyumbani nako mama watoto afurahi, si unajua tena multiplier effect mkuu.Leo kutakuwa na bia za promosheni na burudani ya muziki mpaka asubuhi...leteni mishahara yenu
Umekuwa mshahara wa kanjibai sasa hauelewekiAiseeeee mpaka nashangaaa
Mm naumwa mjue nimechoka kusubiri mshahara
ha ha ha ha ni kweli mkuu,mzunguko muhimuNadhani ni kazi mojawapo ya mshahara mkuu, tukizipata lazima tuzirudishe kwenye mzungukuko kwa kasi ya hatari ili barmaid nae alipwe mshahara wake, mchoma nyama pale kati, nyumbani nako mama watoto afurahi, si unajua tena multiplier effect mkuu.
Jaman wewe acha masikhara atii watu tumechacha
Hahahaha mshahara mtamu unasahau shida za kazi
Nasikia wajeda mmewahishiwa mkuu.Mlivyowaishiwa miezi iliyopita kwa nini hamkuja kuanzisha uzi
Tayari
Sasa mm nawashangaa wabongo wengine utasikia wameshapata mshahara wanaanza kusumbua, hapo ni money circulation tu uchumi haujijengi wenyewe hahaha mi nshaanza kuzitandika hapa nausubiria mshaharaha ha ha ha ni kweli mkuu,mzunguko muhimu
Kama period yan inavyofanyaga duhUmekuwa mshahara wa kanjibai sasa haueleweki