Mshahara wa engineer serikalini ni sh ngapi wadau???

Mshahara wa engineer serikalini ni sh ngapi wadau???

Sekta za serikali zinatofautiana. Mfano mimi nijuavyo, engineer grade II anayeanza kazi halimashauri ya wilaya analipwa Tshs 600,000.
 
Back
Top Bottom