Mshahara wa Disemba 2017

Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
Ndiyo shida ya kuajiriwa na kutegemea mshahara. Ungekuwa unalima wala huna "stress" za namna hii za kuchungulia bank kila mara. Ukitaka mali utayapata shambani. Karibu tulime.
 
Watumishi ndio maaña tunadharaulika,wameshatujua kuwa akili hakuna ndio maana kila Magu hawana hata wasiwasi wanajua sisi mambugilu.....Mfano mzuri ni wewe
Jiajirini nyinyi. Utakuta hapo wewe una shahada ya masuala ya kilimo na ufugaji lakini umekomaa na ajira mwaka wa kumi sasa. Haow atoto wenu watafanya kazi gani? Matokeo yake mnaanza tu kumlaumu Magufuli.

Kama untaka mali utayapata shambani. Karibu tulime
 
hizi ni dalili kuwa mishahara ni midogo sana ....kiwango cha kutoka mkononi hadi kinywani tuu !! no savings possible !!
 
Ndicho kitu ambacho Watu hawajajua mpaka leo.Hela IPO serikalini,je ili mtu wa kawaida ambaye syo mfanyakazi aipate afanyeje? Inabidi huyu akatwe kodi,pili inabidi huyu vyuma vilegezwe ili na yeye aanze kumwaga mpunga mtaani kwa Watu wa kawaida.Mpaka leo Watu hawajashanga kwamba "ni kwa nn mzunguko wa hela haupo mtaani" ni kwa sababu hawa wafanyakazi wamebanwa .
 
Katika uchumi wa nchi yoyote lazima kuwe na waajiriwa iwe serikalini na taasisi zake au sekta binafsi. Haiwezekani kila mtu akajiajiri. Kuna watu mnaelewa vibaya hii concept ya kujiari. Hata mama ntilie hufika mahali akaajiri wasaidizi, mmoja au kadhaa. Civil servants lazima wawepo. Nchi gani hawapo? Hao sasa lazima walipwe mishahara
 
hizi ni dalili kuwa mishahara ni midogo sana ....kiwango cha kutoka mkononi hadi kinywani tuu !! no savings possible !!
Nakumbuka kuna siku Wasira aliwahi kusema Mtumishi wa umma analipwa mshahara ili ale na sio kutajirika.
Hovyo sana hawa wa manunuzi.
 
Haraka na nini mkuu,ndiyo kwaanza tar 21 tu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…