Mshahara wa Disemba 2017

panda juu ya paa ukaombe.ukiomba kwa bidii utawekewa wewe badala yao !! ulozi huanza hivi hivi !!!!!
haswaaa ni kweli kabisa yaani hapa mi nawatamani.nyie wangu uliingia treh kumi na.tisa sasa nishaulamba chaap tu
 
Reactions: SDG
Yan hizi mishahara zimekuwa ni kweree! Crdb wakiingiza tujuzane aseee , nikalipe ada kinachobakia ndo chakula Xmass hiii
 
 
njoo nikuponye basiii
 
Hiyo ni sawa na kusema baba kumwita mke wake mama,japo mtoto hawezi kumwita mama yake mke wangu!! Au kununua gari kisha ukampa dereva akuendeshe
 
Kujiongeza ni muhimu jamani..

Pleasee...mtaumbukä siku. Uza hata icecream. Zinafaida. Na hukosi hela ya mboga.
Kwa hiyo tuende na ice cream tuuze tukiwa kazini kazini!!! Hujitambui na hujui maadili Kazi.!!! Mshahara siyo hisani. Kwani sikukuu si ilijulikana utakuwa lini!
 
Vyuma vimeachia kwa watumishi, tunasubiri thread nyingine ya mishahara kuanzia 10 january, maana huo mwezi dume vyuma vitabana kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…