Mshahara wa Disemba 2017

Mshahara wa Disemba 2017

Hawa wanaotamba huku watumishi hivi mala vile ndo sissi tunaowasaidia na kuwachangia na wengine wenu mnalala kwa mashemeji kisa kazi hakuna.


Naiomba serikali iajiri bana maana naangaliwaga vibaya hapa mtaani na hawa vijana wasione umebadili raba wanajua hela ipo kumbe ni ka laki kadhaa hapo kimeshakatwa makato wewe kazi yako kupokea chenchi

Chenchi zetu mtupeni bana alafu tukizeeka izo chenchi nazo zina kodi hii serekali hii mi ntailoga kwa kweli
 
Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
Huo huwa unaisha kabla ya tar 25 kufika.
 
Anzeni kuchoma vitumbua jioni Kariakoo Wazambia wanaokuja kununua mizigo wanavipenda sana kwa chai
Kulalamika hakusaidii( Hali Mtaani inasikitisha Mangi madukani wanalalamika kukopwa( Aiseeee this is sad kwa kweli)
 
Back
Top Bottom