Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

Taasisi zipi hizo??
Pia huo mshahara hauguswi boss kuna Safari bila kusahau,ni ngumu mtu uka expose hapa hivyo vitu mkuu ila jua kuna watu wanaishi maisha hayo Kwenye hizo Taasisi za Umma sizungumzii mimi Serikali kuu,Au wizarani maana humo ni kawaida tu take your time fatilia.
 
tanesco certificate anaweza fikisha zaidi ya 2M kama yupo transmissions ukijumlisha safari na safari haziishi ni kila mwezi
Lakini hapa tunazungumzia mshahara, safari sio kitu constant
 
Mshahara wa Diploma ni TGS C WEWE KOMAA UINGIE KWENYE SYSTEM
 
Safi sana kwa jibu lako zur shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…