Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

Davey15

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
213
Reaction score
230
Kama kichwa cha thread kilivyo wadau. Je, mshahara wa mtu mwenye diploma ya IT ni TGS ngap? Msaada wanajamvi.

Naomba kuwasilisha.
 
kuna taasisi za serikali wanaanza na 1,800,000/- halafu posho 10%
Kama umemwelewa vzr, ni kwamba salary scale yake ni TGS maana yake ni serikali kuu, siyo taasisi yenye salary scale yake.

Kwa hiyo basi TGS zote zipo na kiwango sawa kinatofautiana kwenye TGTS (Elimu) na TGHS (Afya).

Kwa case ya TGS kwa Diploma unaanza na kitu kama 525,000 kwa kada nyingine kwa kada ya IT mmnekuwa treated tofauti nadhani utaanza na 710,000.
 
Back
Top Bottom