Mshahara wa clinical officers 2

Mshahara wa clinical officers 2

Wizarani na TAMISEMI salary scales zao ni tofauti ?
Hapana Ila Wizara Ya Afya Kuna Taasisi Nyingi so Kwenye Taasisi Ndo kuna Utofauti wa Mishahara..
Wuzara ya Afya kwa maana Ya RRH na ZRH na Tamisemi Mishahara Iko sawa Tofauti ni Rrh Na ZRH wao wana Posho Nyingi sana na Allowance Kuliko Tamisemi, Na Kuna taasisi ambazo ziko Nje ya RRH na ZRH ambazo ziko wizara ya afya Kama NIMR, na zingine ,MNH,JKCI nk Mishahara Iko tofauti saaana na Tamisemi kwa kada moja
 
Na kwa walimu kwa mfano mwl wa degree ambaye yupo wizarani na mwingine yupo shule ya sekondari Majimatitu. Wana tofauti ya maslahi ?
 
Mwalimu Aliyepo Wizarani anafanya kazi sehemu Gani?
Maana Mi ninavyojua Wizara ya Elimu inasimamia Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu..
Na Tamisemi inasimamia Shule zote kuanzia awali mpaka Sekondari sasa Mwalimu Yoyote yupp Chini ya tamisemi..
Hakuna Aliye wizarani
 
Hakika
 
Hata kwenye mawizara kuna vitengo ambavyo walimu wanapiga kazi. Ningeweza kukupa mfano halisia ila basi.
 
Back
Top Bottom