Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Mkoba nimefurahi kwa ulivyoelzea kitaalamu .
Mshahara wa Assistant lecturer ni PUTS 13 hadi PUTS 14 ukiajiriwa upya lazima uitumikie hiyo PUTS 13. PUTS 13 ni kama 1,348.070/= na PUTS 14 ni kama 1,701,070/= na hizo zote ni basic bado makato PUTS13 ukikatwa makato yote unachukua take home kama laki tisa na kitu hivi na PUTS 14 ukikatwa unaondoka na take home kama milionna laki mbili hivi hapo kama hauna mikopo.Hakuna marupurupu mengine mkuu hii ni kazi ya wito si ualimu au hujui Ukitaka rank zingine zipo kama lecturer,senior lecturer,Associate prof and full prof.Kazi njema.